Kigiangan

Kigiangan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wagiangan. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kigiangan imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigiangan iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search